-
Podcast vijanazmedia
VIJANAZ 1EXTRA With Dj Denaxy EP1A12:149 312:14
Scroll for Details
Upo huru kuzungumzia mahusiano yako ya kimapenzi na mzazi wako?
Kuzungumzia kuhusu mahusiano yako haswa wakati unapitia hali fulani ni muhimu na kunaweza kuleta mabadiliko ya kimtazamo na msimamo wa moja kwa moja.
Swali ni je nani unayezungumza naye na ni kwa wakati gani? kutambua haya kunaweza kuleta msimamo thabiti na maamuzi sahihi,
Wazazi wanahusika sana katika hili lakini tafiti zinaonyesha vijana wengi hawapo huru kuzungumza kuhusu mahusiano yao ya Mapenzi na wazazi wao.
Translation powered by DeepL
This track was tagged with the following keywords: Podcast.
These are the meta information of this upload:
- 92.5 bpm
- Key: Am
1 played it.
Listen to all music and sounds of vijanazmedia and follow this user by signing in for free.
- 92.5 bpm
- Key: Am