Mimi ادري,siku njema huonekana asubuhiNi dhahiri,kuwa mwanzo nilikuwa sijuiKwamba mzuri,utampata ikiwa hujijuiNa zake zari,zitakuweka iwe hujitambuiKatika pitapita zangu,nikajionea na macho yanguMsichana mrembo,anaonekana kuwa mhumbleMwenye rangi ya mzungu,ametawala moyoni mwanguMmh hana majigambo,nimenaswa na chake chamboNilipomuona tu hivi, moyo wangu nao ulishtukashtukaHata mimi mwenyewe, nilidhani kuwa nishakufakufaNilipolala tu hivi,nilishangaa kumeshakuchakuchaHapo ndo nikajua,kuwa hata kuku ana makuchaOh kumbe ni yeye....Nimempata (oh mimi) Nimempata (mpenzi wangu)Nimempata (mmh mmh mmh) oh nishampataNimempata (oh mimi)Nimempata (mpenzi wangu)Nimempata (mmh mmh mmh)Nakuomba tafadhali, niweke kwako niwe halali,Tunapendana sisi,hata kwa zetu nafsiNakuomba my darling, usinichoke kwa yangu haliTusiwape nafasi,oh watatuasiNilipomuona tu hivi, moyo wangu nao ulishtukashtukaHata mimi mwenyewe, nilidhani kuwa nishakufakufaNilipolala tu hivi,nilishangaa kumeshakuchakuchaHapo ndo nikajua,kuwa hata kuku ana makuchaOh kumbe ni yeye....Nimempata (oh mimi) Nimempata (mpenzi wangu)Nimempata (mmh mmh mmh) oh nishampataNimempata (oh mimi)Nimempata (mpenzi wangu)Nimempata (mmh mmh mmh)Yani kwako nishazama,kwenye bahari ya mapenziNishafika kirefu kina,kutoka mimi siweziNaomba sana Rabana,linawiri letu penziTuache la kufichana,tuweke wazi kwa wazaziNilipomuona tu hivi, moyo wangu nao ulishtukashtukaHata mimi mwenyewe, nilidhani kuwa nishakufakufaNilipolala tu hivi,nilishangaa kumeshakuchakuchaHapo ndo nikajua,kuwa hata kuku ana makuchaOh kumbe ni yeye....Nimempata (oh mimi) Nimempata (mpenzi wangu)Nimempata (mmh mmh mmh) oh nishampataNimempata (oh mimi)Nimempata (mpenzi wangu)Nimempata (mmh mmh mmh)Yeah, is Feskhan tena,Confidence Boy,yeah Feswalizer Records,mmh mmh mmhYeah yeah yeahMmmh mmmh mmmh mmmh,mmmh mmh mmmh Khan Boy



    R&B
    • 100 bpm
    • Key: F