Upo huru kuzungumzia mahusiano yako ya kimapenzi na mzazi wako? Kuzungumzia kuhusu mahusiano yako haswa wakati unapitia hali fulani ni muhimu na kunaweza kuleta mabadiliko ya kimtazamo na msimamo wa moja kwa moja.
Swali ni je nani unayezungumza naye na ni kwa wakati gani? kutambua haya kunaweza kuleta msimamo thabiti na maamuzi sahihi,
Wazazi wanahusika sana katika hili lakini tafiti zinaonyesha vijana wengi hawapo huru kuzungumza kuhusu mahusiano yao ya Mapenzi na wazazi wao.

Translate this for me please

  Podcast
  • 92.5 bpm
  • Key: Am
  Full Link
  Short Link (Twitter)
  Download Video Preview for sharing