Samatwizzy - PILA
-

'PILA' kwa maana ya mtaa ni "GARI LA POLISI", POLISI ni walinzi wa amani na wachukua hatua dhidi ya maovu yanayotendeka ndani ya jamii . Ila kwenye jamii wapo watunza amani na wachapakazi ambao hupenda kazi zinazofanywa na vikosi vya kulinda amani na usalama wa nchi.

Lengo kamili la Wimbo : Ni Kuunganisha ushirikiano na wana jamii na jeshi la usalama ili kutunza amani yetu.

'PILA' ni wimbo ulioandikwa na GP Tesha maarufu kama 'Samatwizzy'

Mahojiano ya Samatwizzy na TESHATV Podcast : Nukuu : " Nimeandika wimbo huu nikichora picha halisi ya gari la polisi linapopita mitaani, Ni kipi kinaonekana mbele ya macho ya mtanzania, maana amani yetu hii tumerithi kutoka kwa wahasisi wa taifa.
_
Social Media

instagram.com/samatwizzy
twitter.com/samatwizzy
facebook.com/mnyamoon

Translate this for me

  Trap
  • 140 bpm
  • Key: Am
  Full Link
  Short Link (Twitter)
  Download Video Preview for sharing

  Show support for your favorite artists.  report infringement