Kosa langu me kukuçhagua,
Ikulu mwili wangu unanisumbua,
Nikupe nini ulidhike, yakome masekeseke.
Silali niwewesekeeh heeeh ee eeeh!!??

Bridge
Vidonda vya moyo vibaya, vinanitesa sana,
Kilio changu sio chao, siwezi kulia na wao x2
huuuuuuuuh Moyo wangu

Kiitikio
Only one day ningekuwa kama wale,
Tungekuwa saresare kama maisha ya kambale x2

Nijichane kifuani, nikianike hadharani,
Mfupa kwa kiboyo, siwezi kuwa poyoyo,

Zile sitaki nataka, pupa haina baraka,
Umegeuka kichaka, hifadhi ya takataka

Bridge
Vidonda vya moyo vibaya, vinanitesa sana,
Kilio changu sio chao, siwezi kulia na wao x2
huuuuuuuuh Moyo wangu
hiiiiiiih Nafsi yangu

Kiitikio
Only one day ningekuwa kama wale,
Tungekuwa saresare kama maisha ya kambale x2

Nijichane kifuani, nikuanike hadharani,
Mfupa kwa kibogoyo, siwezi kuwa poyoyo,

Zile sitaki nataka, pupa haina baraka,
Umegeuka kichaka, hifadhi ya takataka

Bridge
Vidonda vya moyo vibaya, vinanitesa sana,
Kilio changu sio chao, siwezi kulia na wao x2
huuuuuuuuh Moyo wangu
hiiiiiiih Nafsi yangu

Only one day, ningekuwa kama wale,
Kama maisha ya kambale eeeeeh

Vitam tamu ndani yake vina sumu, wewe Moyoooh
Mbona una nihukumu X2

Only one day, ningekuwa kama wale
Tungekuwa saresare
Kama maisha ya kambale eeeeh

***Written by meaconscious

Only one day
youtu.be/kg96TPuku6E

Translate this for me

  fikralojiamusic
  • Version: 1
  • Type: Original
  • 93 bpm
  • Key: MeaConscious
  • © All rights reserved
  • dar es salaam
  Full Link
  Short Link (Twitter)
  Download Video Preview for sharing