FIKRALOJIA MUSICIANSHIP

fikralojia   ))   dar es salaam

Check out the song.. YANGA STAND UP by MeaConscious X Sulesh MC by FIKRALOJIA#
mdundo.com/song/2207692?appshare

Kwenye sanaa kuna uandishi mpito na ule unaoishi.....

1_Uandishi mpito huusu zaidi mambo ya sasa/currently
*Sifa
Si rahisi kubuni utabiri(predictions)

2_Unaoishi yawezakuwa miongo kumi na kuendelea
*Wimbo kama
#YANGA STAND UP hii imeimbwa Taassi na sio mtu au Umetunga kuhusu nchi na sio mtawala kwasababu mtawala/Utawala hubadilika lakini Nchi sio rahisi kubadilika jina na mipaka yake.

Pia kuna muktadha ya aina ya ujumbe unaoishi/Asili na Umilele
Mfano kama wimbo wa
#BobMarley _ No Woman no Cry yaani title ya wimbo inahakisi/inajadili asili(nature) na hali ya umilele. Nyinginezo #DiniTumeletewa wa Afande Sele
#Kifo wa Lemi Ongala
#Yajayo wa Sulesh Mc
#Dunia wa Harmonize
#one people different color wa Luck Dube

#Gosples, Qaswida na imani au Kiroho_ japo sio zote lakini nyingi zinahakisi asili na umilele..
#Pia zipo za kuburusha tu(Kupali) na zinaweza zisiwe na ujumbe wa moja kwa moja...

NOTE: Mkijadili ubora wa vitu hivyo mjue kabisa vinategemeana na mazingira, hali na haja ya waandaaji wa kazi hiyo ya Sanaa na mpokeaji yaani Hadhira

Inaendelea............

Subscribe Channel pendwa kwa ngoma

youtube.com/@fikralojiamusicianship

read more

Translate this for me
Member since: 3 years

Facebook X / Twitter

    2 Followers

      Following 2